Community Pulse
About
Karibu kwenye Gulio Huria ni jukwaa linalowaunganisha wajasiriamali, wauzaji, na wanunuzi. Hapa unaweza kununua, kuuza, na kutangaza bidhaa zako.
Community Rules
Epuka Utapeli
Kila muuzaji awajibike kwa uhalali wa bidhaa na huduma anazotoa.
Hakuna matangazo ya ponografia, kamari, au bidhaa haramu
Tunazingatia maadili ya biashara
Chagua njia salama za malipo
Epuka malipo yasiyo na ushahidi au njia zisizo salama za kutuma pesa ili kuepuka kutapeliwa
Biashara ni kati ya muuzaji na mnunuzi
Admins hawahusiki na malipo au uaminifu wa wauzaji, hakikisha unafanya biashara na mtu unayemuamini.
Hakuna spam au matangazo ya mara kwa mara
Tumia Jukwaa hili kwa ajili ya biashara ya kweli, siyo kusambaza link zisizo na faida kwa wanachama
Toa maelezo sahihi ya bidhaa
Picha nzuri, bei wazi, na maelezo kamili yanahitajika.
Heshima na lugha nzuri
Jadili na kuuza kwa staha, bila matusi au kejeli
Muuzaji awajibike na bidhaa yake
Hakikisha bidhaa unazouza zinafika kwa mnunuzi kama zilivyoelezwa
Community Reviews
Share Your Experience
Sign in with X to leave a review and help others discover great communities
Login with XNo reviews yet
Be the first to share your experience!